01 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida kwa vitoto vidogo (chipukizi)

https://www.fawaidusalafiya.net

س: مَنْ خَلَقَكَ؟

Swali: Ni nani aliyekuumba?

ج: اللّٰهُ خَلَقَنِيْ

Jawabu: Allah (ndiye) ameniumba.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri:

Mzazi/ Mlezi mtolee mtoto mifano michache inayoendana na ufahamu wake, mfano unaweza ukamwambia: Allah amekuumba wewe na mimi na kila kitu unachokiona na usichokiona vyote vimeumbwa na Allah pekee anayestahiki kuabudiwa.

Usikose makala namba 02 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 24 – Safar – 1442H ≈ 11 – October – 2020M.

Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *