12 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ١٢

Swali no. 12:

مَا هُوَ أَعْظَمُ ذَنْبٍ؟

Ni ipi dhambi kubwa zaidi?

ج: الشٌِرْكُ بِاللّٰهِ تَعَالَى

Jawabu: Ni kumshirikisha – Allah aliyetukuka.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri:

Hapa Mzazi /Mlezi utamuelezea mtoto kuwa hakuna dhambi kubwa zaidi ya ushirikina na ukafiri, dhambi hii ya ushirikina mkubwa na ukafiri mtu akifa nayo kabla ya kutubu atakaa motoni milele yaani hatosamehewa katu. Ushirikina ni nini? fuatilia makala ijayo.

Usikose makala namba 13 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 17 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 03 – November – 2020M.

Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net

Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Kupata darasa za ndoa jiunge nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/Darasazandoa

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *