13- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu
Makala namba 13:
الإِنْفَاقُ فِيْ سَبِيْلِ اللَّهِ:
Kutoa katika njia ya Allah:
قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَى اللّٰهِ عَلَىيْهِ وَسَلّمَ:
Amesema Mtume wa Allah – swala na salamu za Allah ziwe juu yake:
قال الله: أَنْفِقْ يا ابْنَ آدَمَ أُنْفِقْ عَلَيْكَ
Amesema Allah:
{ Toa ewe mwanaadamu utapewa badala }
رواه البخاري ومسلم
[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ١٢ ]
Maelezo:
Mzazi /Mlezi inatakikana umfundishe mwanao kuwa kutoa katika njia za lazima kama kulisha familia au kutoa katika hali ya kuunga udugu, na pia utoaji katika njia za Allah kama vile kutoa sadaka katika njia mbalimbali za kheri utoaji wote huu ni sababu ya Allah – aliyetukuka – kumpa badala yule mtoaji na bora zaidi duniani na akhera ikiwa atatakasa nia yake.
Usikose makala namba 14, in Shaa Allah..
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 28/ Jumaadal-ulaa, 1442H ≈ 12/ Jan, 2021M. Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•