14 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ١٤

Swali no. 14

هَلْ يَسْتَحِقُّ الْمَخْلُوقُ الْعِبَادَةَ؟

Je, kiumbe anastahiki kuabudiwa?

ج:

Jawabu:

لَا يَسْتَحِقُّ الْعِبَادَةَ أَحَدٌ إلَّا اللّٰهُ.

Hakuna yeyote yule anayestahiki kuabudiwa isipokua Allah.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri: Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kuwa hakuna anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah – aliyetukuka – ibada ni haki ya Allah pekee haifai kuabudiwa yeyote katika viumbe hata akiwa ni mtukufu kiasi gani kama Malaika, Mitume n.k,

Kwa hiyo mwenye kumuomba Mtume katika mitume ya Allah au Malaika au mtu mwema mfano wale wanaoenda katika makaburi na wakawaomba maiti au wakaenda kutafuta baraka kwa kuitikadi kuwa maiti hao wanatoa baraka bila shaka huu ni ushirikina unaomtoa mtu katika uislamu. Kwa kifupi mwenye kuipeleka ibada kwa asiyekuwa Allah – aliyetukuka – basi amemshirikisha Allah.

Usikose makala namba 15 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 20 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 06 – November – 2020M.

Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net

Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Kupata darasa za ndoa jiunge nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/Darasazandoa

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *