س: ١٥
Swali no. 15:
مَنْ نَبِيُّكَ؟
Ni nani Mtume wako?
ج:
Jawabu:
مُحَمَّدُ بِنُ عَبْدِاللّٰهِ صلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ.
(Mtume wangu ni) Muhammad bin Abdillah – Swala na salamu za Allah ziwe juu yake.
سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.
[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]
Maelezo ya Mfasiri:
Muislamu anatakiwa amfahamu Mtume wake – swala na salamu za Allah zimfikie – kwa sababu yeye ndiye mjumbe wa Allah – aliyetukuka – kwa viumbe, uijue nasabu yake, mji wake, amezaliwa wapi?na amefariki wapi? uyajue yale aliyokuja nayo Mtume, vipi alianza kufunuliwa (kushushiwa) wahyi, vipi aliwalingania watu katika kumpwekesha Allah (uislamu) Maka na Madina. Na haya yote yanafahamika kwa kusoma historia yake Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie-,
Ni ajabu kumuona muislamu anajua historia za wanadamu wengine kisha akawa hajui historia ya Mtume wake! Ni vipi utamfuata mtu hali ya kuwa haumfahamu?
Usikose makala namba 16 inayofuata in shaa Allah. Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 21 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 07 – November – 2020M.
Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net
Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Kupata darasa za ndoa jiunge nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/Darasazandoa
Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•