15- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu
Makala namba 15:
الطَّهَارَةُ:
Twahara:
قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلّمَ :
Amesema Mtume wa Allah – swala na salamu za Allah ziwe juu yake:
“الطُّهُوْرُ شَطْرُ الْإِيْمَانِ”
” Kujitwaharisha /udhu ni nusu ya imani “
رواه مسلم ( ٢٢٣)
[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ١٥ ]
Maelezo:
Mzazi /Mlezi inatakikana umfundishe mwanao kuwa kujitwaharisha (udhu) ni nusu ya imani na twahara asili yake ni kujitakasa na kujisafisha, Na maana ya nusu ya imani: Ni kuwa ujira wa udhu unakomeka katika ujira wa nusu ya imani, kwa sababu ndani ya imani kuna usafi wa moyo na nafsi. na katika udhu kuna usafi wa mwili.
Usikose makala namba 16, in Shaa Allah..
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 03/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 16/ Jan, 2021M.
Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•