س: ١٨
Swali no. 18:
مَا هُوَ آخِرُ الْكُتُبِ؟
Ni kipi kitabu cha mwisho?
ج:
Jawabu:
الْقُرْآنُ.
(Kitabu cha mwisho ni) Qur’ani.
سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.
[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]
Maelezo ya Mfasiri:
Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kwamba: Qur’ani ni kitabu cha mwisho kuteremshwa kutoka kwa Allah na Qur’ani imefuta vitabu vyote vilivyotangulia na Qur’ani imekusanya yote wanayoyahitajia wanadamu na Qur’ani ni alama tosha ya ukweli wa Mtume Muhammad – swala na salamu za Allah zimfikie – na Qur’ani imehifadhiwa na Allah – aliyetukuka – hakuna mwenye uwezo wa kupunguza au kuongeza na kama kuna adui yeyote atakaye fanya hivyo basi tendo lake hilo litafichuliwa kwa sababu Allah – aliyetukuka – amechukua dhamana ya kukihifadhi kitabu chake.
Usikose makala namba 19 inayofuata in shaa Allah.
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 25 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 11 – November – 2020M.
Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net
Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Kupata darasa za ndoa jiunge nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/Darasazandoa
Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•