18- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

18- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu Makala namba 18: ذِكْرُ اللّٰهِ:

Kumtaja Allah:

قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلّمَ :

Amesema Mtume – swala na salamu za Allah ziwe juu yake:

“لَا يَزَالُ لِسَانُكَ رَطْبًا مِنْ ذِكْرِ اللّٰهِ عزَّوَجَلَّ”

” Utaendelea ulimi wako kuwa laini kutokana na kumtaja Allah – aliyeshinda na kutukuka”

رواه ابن ماجة (٣٠٧٥ )

[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ١٨ ]

Mazazi /Mlezi inatakikana umuelezee mwanao kuwa maana ya ulimi wako utaendelea kuwa laini kwa kumtaja Allah – aliyetukuka – ni mahimizo juu ya kumtaja Allah kwa nyiradi mbalimbali, kama vile Tasbihi (kumtakasa Allah), Tahmid (kumhimidi Allah), na kumtaja Allah ni sababu kubwa ya kupata utulivu wa moyo kwa muumini.

Usikose makala namba 19, in Shaa Allah..

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 14/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 27/ Jan, 2021M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *