س: ١٩
Swali no. 19:
مَا هُوَ الْقُرْآنُ؟
Qur’ani ni nini?
ج:
Jawabu:
هُوَ كَلَامُ اللّٰهِ.
Qur’ani ni maneno ya Allah.
سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.
[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]
Maelezo ya Mfasiri:
Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kuwa: Qur’ani ni maneno ya Allah kwa maana Allah – aliyetukuka – ameizungumza hii Qu’rani kwa sauti aliyoisikia Jibriil na akamshushia Mtume wetu Muhammad – Swala na salamu za Allah zimfike – na Qur’ani si kiumbe kama yanavyodai mapote ambayo yamepinda kama vile Maibadhi na wakongwe wao waliowatangulia katika uzushi huu mzito kama vile Al-Jahmiyyah, Al-mu’tazilah.
Usikose makala namba 20 inayofuata in shaa Allah.
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 26 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 12 – November – 2020M.
Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•