19- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

19- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

Makala namba 19:

إِمَاطَةُ الْأَذَى عَنِ الطَّرِيْقِ:

Kuondoa uchafu njiani:

قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلّمَ:

Amesema Mtume – swala na salamu za Allah ziwe juu yake:

“بَيْنَمَا رَجُلٌ يَمْشِي بِطَرِيْقٍ وَجَدَ غُصْنَ شَوْكٍ فَأَخَذَهُ فَشَكَرَ اللّٰهُ لَهُ فَغَفَرَ لَهُ”

Wakati ambao mtu mmoja (alikuwa) akitembea njiani akakuta kitawi chenye miba basi akakichukua (akakiondoa) basi Allah akaridhia kitendo chake na akamsamehe.

رواه البخاري ( ٢٤٧٢)

[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ١٩ ]

Maelezo:

Mzazi /Mlezi mueleze mwanao kuwa katika mlango wa mema ni kuondoa takataka njiani kama ilivyotokea kwa mtu huyu ambaye alitoa tawi la miba Allah akaridhia tendo lake hilo na akamsamehe.

Usikose makala namba 20, in Shaa Allah..

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 16/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 29/ Jan, 2021M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *