10 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)
س: ١٠ Swali no. 10: كَْيفَ عَرَفْتَ اللّٰهَ؟ Vipi umemtambua Allah? ج: Jawabu: بأسِمَاىٔهِ و صِفَاتِهِ وَ بِمَخْلُوْقَاتِهِ (Nimemtambua Allah) kwa majina yake na sifa zake na kwa viumbe vyake.…