Namna ya kuswalia jeneza (maiti) [ No. 04 ]

https://www.fawaidusalafiya.net سلسلة أحكام الجنائز. MLOLONGO (MFULULIZO) WA HUKUMU ZA MAITI (NO. 35) ☞ NAMNA YA KUSWALIA JENEZA (MAITI) Makala namba 04: ثم يُكبر التكبيرة الثالثة و يدعو للميِّت، ويُخلص له…

Namna ya kuswalia jeneza (maiti) [ No. 03]

https://www.fawaidusalafiya.net سلسلة أحكام الجنائز. MLOLONGO (MFULULIZO) WA HUKUMU ZA MAITI (NO. 34) ☞ NAMNA YA KUSWALIA JENEZA (MAITI) Makala namba 03: ثم يُكبِّر للثانية ويصلِّي على النَّبيِّ صلى الله عليه…

24 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: Swali no 24: مَا هُوَ حَقُّ الصَّحَابَةِ؟ Ni ipi haki ya Maswahaba? ج: Jawabu: مَحَبَّتُهُمْ والاقْتِدَاءُ بِهِمْ . (Haki ya Maswahaba) ni kuwapenda na kuwaiga. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم…

23 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٢٣ Swali no. 23: كَيْفَ نُؤْمِنُ بالْقَدَرِ؟ Vipi tunaamini qadari? ج: Jawabu: بالرِّضَى بِقَضَاءِ اللّٰهِ. (Tunaamini) kwa kuridhia Makadirio ya Allah. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد…

22 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س رقم: ٢٢ Swali no. 22: مَا هُوَ الإيْمَانُ بِالْيَوْمِ الآخِرِ؟ Ni kupi kuamini siku ya mwisho? ج: Jawabu: هُوَ الإيْمَانُ بِيَوْمِ الْقِيَامَةِ وَالْجَنَّةِ والنّارِ. Ni kuamini siku ya kiama…

20 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٢٠ Swali no. 20: كَيْفَ نُؤْمِنُ بِالرُّسُلِ؟ Vipi tunawaamini Mitume? ج: Jawabu: بالتَّصْدِيْقِ بِهِمْ (Tunawaamini) kwa kuwasadikisha. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان…