003 – Adhkari /nyiradi za asubihi (no. 02)

☞ Kusoma: Surat al-Ikhlaas, Surat al-Falaq na Suratu Nnas, Kila Sura moja mara tatu tatu. 1. Surat al-Ikhlaas; بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ. قُلْ هُوَ اللّٰهُ أَحَدٌ ﴿١﴾ اللّٰهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾…

003 – Adhkari /nyiradi za asubihi (no. 01)

☞ Kusoma Ayatul-kursiy asubihi na jioni. أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ الرَّجِيمِ Nakimbilia/najikinga kwa Allah kutokana na shetani aliyefukuzwa katika rehema za Allah. اللَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لَا…

03 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٣ Swali no. 3 كَيْفَ تَعْبُدُ اللٰه؟ Vipi unamuabudu Allah? ج: بِطاَعَتِهِ وَحْدَهُ. Jawabu: (Namuabudu Allah) kwa kumtii yeye peke. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن…

02 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: لماذا خلقك الله؟ swali: Kwanini Allah amekuumba? ج: ِلعبَادَتِهِ. Jawabu: (Ameniumba Allah) kwa ajili ya kumuabudu. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي…