Makala namba (12) قال الله تعالى : Amesema Allah aliyetukuka-: ﴿ وَأَسْبَغَ عَلَيْكُمْ نِعَمَهُ ظَاهِرَةً وَبَاطِنَةً ﴾ { Na akakuenezeeni neema zake, za dhaahiri na za siri } سورة لقمان…
عن أبي أيوب الأنصاري - رضي الله عنه: Kutoka kwa Abuu Ayyub Al-answariy - Allah amridhie: أن رسول الله - صلى الله عليه وسلم، قال: Kwamba mtume wa Allah -…
Kauli inayotegemewakatika madhehebu yetu ya kishafi ni kuwa pindi mwezi unapoonekana sehemu fulani basi ni wajibu kufunga au kufungua watu wote ambao mawio yao na machweo yao yanafanana na mji…