Misingi mitatu na dalili zake.

➡️ Makala namba ( 19) ↩️ودليل الخشية قوله تعالى : 🌱{فَلَا تَخْشَوْهُمْ وَاخْشَوْنِي } البقرة(١٥٠)‎ Na dalili ya kuogopa ni kauli yake Allah aliyetukuka: "Basi msiwaogope wao lakini niogopeni mimi"…

MUUMINI SIKU ZOTE YUPO KATIKA HERI.

MUUMINI SIKU ZOTE YUPO KATIKA NEEMA. قال الشيخ عبد الرزاق بن عبد المحسن البدر – حفظه الله-: Amesema sheikh Abdul-Rrazzaq bin Abdil-Muhsin Al-badr-Allah amuhifadhi-: « … والابتلاء في هذه الحياةِ…

FAIDA KUTOKA KATIKA QURANI.

Makala namba (9) قالَ اللهُ تعالىٰ: Amesema Allah aliyetukuka-: ﴿وَإِن تَعُدّوا نِعمَةَ اللَّهِ لا تُحصوها إِنَّ اللَّهَ لَغَفورٌ رَحيمٌ﴾. Na kama mkihisabu neema za Allah, hamtaweza kuzidhibiti Hakika Allah ni…

TAMBUA GONJWA LAKO UTAMBUE TIBA YAKE !

▫️قال ابن القيم رحمه الله: amesema ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-: «المريض الذى يشكو وجع البطن مثلا اذا استعمل دواء ذلك الداء انتفع به، واذا استعمل دواء وجع الرأس لم يصادف داءه.…