TABIA HII HUZINGATIWA NI KATIKA KUWAASI WAZAZI !
قَالَ عُرْوَةُ بْنُ الزُّبير رحمه الله: Amesema 'Urwah bin Azzubair-Allah amrahamu-: ” مَا بَرَّ وَالِدَهُ مَنْ شَدَّ الطَّرفَ إِلَيْهِ” . Hakumfanyia wema mzazi wake, yule aliyemkazia macho huyo (mzazi wake)…