Misingi mitatu na dalili zake (26)

➡️ Makala namba (26) ↩️ وهو الاستسلام لله بالتوحيد. 🌱Na huo (Uislamu): Ni kujisalimisha kwa Allah kwa kumpwekesha. ↩️والانقياد له بالطاعة ↩️ والبَرَاءَةُ مِنَ الشِّركِ وَأَهْلِهِ).‎، 🌱na kumfuata kwa kunyenyekea…

Misingi mitatu na dalili zake (25)

Makala namba (25) 2️⃣ الأَصْلُ الثَّانِي: ↪️ Msingi wa pili: 🌱مَعْرِفَةُ دِينِ الإِسْلامِ بِالأَدِلَّةِ Ni kuijua dini ya kiislamu kwa dalili. ✍️Sherhe inayotokana na wanachuoni mbalimbali: ೄྀ࿐ ೄ࿐ೄྀ࿐ ೄೄྀ࿐ ೄ࿐ೄྀ࿐Pindi…

FAIDA YA KUTOFUATILIA MAKOSA YA WATU!

‏قَالَ الْعَلَّامَةُ السِّعْدِيُّ ـ رَحِمَهُ اللهُ ـ :Amesema mwanawachuoni mkubwa Assi'idiy-Allah amrahamu-: «مَنْ تَغَافَلَ عَنْ عُيُوبِ النَّاسِ وَ أَمْسَكَ لِسَانَهُ عَنْ تَتَبُّعِ أَحْوَالِهِمْ الَّتِيٰ لَا يُحِبُّونَ إِظْهَارَهَا : Mwenye kutoangalia…