21- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

21- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

Makala namba 21:

شُكْرُ النِّعْمَة:

Kushuru neema:

قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلّمَ:

Amesema Mtume – swala na salamu za Allah ziwe juu yake:

” إنَّ اللّٰهَ لَيَرْضَى عَنْ الْعَبْدِ أنْ يَأْكُلَ الْأَكْلَةَ فَيَحْمَدَهُ عَلَيْهَا وَيَشْرَبَ الشَّرْبَةَ فَيَحْمَدَهُ علَيْها‎ “

Hakika Allah humridhia mja anapokula mlo (mmoja) akamshukuru (Allah) juu ya (mlo) huo na anapokunywa kinywaji (mara moja) akamshukuru (Allah) juu ya (kinywaji) hicho.

رواه مسلم ٢٧٣٤

[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ٢١ ]

Maelezo:

Mzazi /Mlezi mfundishe mwanao kuwa katika mambo ambayo ni sababu ya kupata radhi za Allah ni kumshukuru Allah baada ya kula mlo mmoja kama wa asubuhi, mchana, usiku na anashukuriwa muda wote kwa sababu yeye ndiye aliyeturuzuku hiki chakula, na akakifanya ni chenye kupita kooni na akatupa taufiki ya kumtaja Allah, Hivyo mwambie mwanangu unapomaliza kula au kunywa sema:

الحمد لله

Sifa zote njema ni za Allah.

Usikose makala namba 22, in Shaa Allah.. Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 19/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 01/ Jan, 2021M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *