س: ٣
Swali no. 3
كَيْفَ تَعْبُدُ اللٰه؟
Vipi unamuabudu Allah?
ج: بِطاَعَتِهِ وَحْدَهُ.
Jawabu: (Namuabudu Allah) kwa kumtii yeye peke.
سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي
[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]
Maelezo ya Mfasiri:
Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kumtii Allah kwa kutekeleza aliyoyaamrisha na kuyaacha aliyoyakataza na utamtajia baadhi ya maarisho ambayo Allah – aliyetukuka – ameyaamrisha kama: tauhidi yaani kumpwekesha Allah pekee katika ibada zote na hili ni jambo kubwa zaidi aliloliamrisha Allah, swala, funga, zaka n.k Na utamtajia makatazo aliyoyakataza kama: ushirikina /ukafiri kwa sababu hili huporomosha matendo ya mwanadamu, uwongo, khiana, uzinifu, n.k.
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 27 – Safar – 1442H ≈ 14 – October – 2020M. Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net
Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•