قال الامام ابن باز – رحمه الله:
Amesema imam ibn Baz-Allah amrahamu-:
« العلاج الحقيقي للذنوب يكون بالتوبة إلى الله و ترك المعاصي و الصدق في ذلك »
“ Tiba hakika ya madhambi inakuwa kwa kutubia kwa Allah na kuacha maasi na ukweli katika hilo ”
مجموع الفتاوى (٥/١٧٥)
Maelezo:
Ukitubu toba ya kweli iliyotimiza sharti zake na ukawa mkweli katika toba yako bila shaka hii ni tiba halisi ya madhambi.