قال ابن_قدامة – رحمه الله -:
Amesema ibn Qudamah-Allah amrahamu-:
” ولا يجوز الخروج من المسجد بعد الأذان إلا لعذر، وعلى هذا العمل من أصحاب النبي ﷺ ومن بعدهم “.
” Na wala haifai kutoka msikitini baada ya adhana ila kwa udhuru na juu ya hili (tulilosema) lilifanyiwa kazi na maswahaba wa Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- na (waliokuja) baada yao ”
📘المغني ٢٩٦/١ ]
*📕
Maelezo:
Haifai kutoka msikitini baada ya kuadhiniwa kwa maana ni haramu ila kwa udhuru kama vile ukienda kutawadha ukitengukiwa na udhu ,au ukibanwa na haja n.k.