قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله
Amesema sheikh l-islam ibn Taimiyyah – Allah
amrahamu-:
وأحدث بعض الناس فيه – أي يوم عاشوراء – أشياء مستندة إلى أحاديث موضوعة ، لا أصل لها ، مثل : فضل الإغتسال فيه ، أو التكحل ، أو المصافحة وهذه الأشياء ونحوها ، من الأمور المبتدعة ، كلها مكروهة . وإنما المستحب صومه
Na baadhi ya watu wakazusha ndani ya hiyo siku ya ‘Ashuraa- vitu (vingi) vilivyoegemezewa
hadithi za uongo , hazina wapokeaji ,mfano : Ubora wa kuoga ndani ya (siku hiyo) au kujipaka wanja au kupeana mikono vitu hivi na mfano wa hivi ,miongoni mwa (yale) yaliyozushwa yote
yanachukiza na hakika si vinginevyo lililokuwa suna ni kuifunga .
اقتضاء الصراط (626/2