🎙 قال شيخ الإسلام ابن تيمية- رحمه الله
AMESEMA SHEYKHUL ISLAM IBN TAYYIMIYYAH (ALLAH AMREHEMU)
“من رأى أنه لا ينشرح صدره,ولا يحصل له حلاوة الإيمان,ونور الهداية فليكثر التوبة والاستغفار”
MWENYE KUJIONA KUWA KIFUA CHAKE HAKIKUNJUKI ( HAKINA RAHA ) NA WALA HAIPATIKANI KWAKE LADHA YA IMANI NA NURU YA UONGOFU BASI ( ANATAKIWA ) AKITHIRISHE ( KULETA ) TOBA NA KUOMBA MSAMAHA
📚 MAREJEO:
انظر :الفتاوى ( 5/62 )
[ Angalia:Al-fatawa 5/62 ]
Mfasiri:fawaidusalafiya.net