Je, inakatwa tahiyyatul-masjid itakapokimiwa swala (ya faradhi)?

(Sheikh); Atakapokuwa mwanzoni mwake basi ataikata, ikiwa itampita rakaa (moja).

Ama akiwa mwishoni mwake basi bila shaka ataikamilisha hiyo (swala). Ndio

Maelezo: Itakapokimiwa swala ya faradhi hali ya kuwa mtu anaswali sunnah akiwa yupo mwanzoni mwa sunnah yaani rakaa ya kwanza basi ataikata bila ya kutoa salamu bali atatoka katika swala na kwenda katika swala ya faradhi, ama akiwa yupo rakaa ya pili mwishoni mwake basi aikamilishe kwa wepesi kama alivyosema Sheikh ibn ‘Uthaimin – Allah amrahamu – pia.

Nyongeza: Tahiyyatul-masjid: Ni zile rakaa mbili zinazoswaliwa unapoingia msikitini kabla ya kuswali swala yoyote au kabla ya kuketi au kufanya lolote.

Mjibuji Swali: Sheikh Swaalih Fauzaan Al-fauzaan

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Kiunganishi cha sauti ya Sheikh: https://youtu.be/o-45fw-aKII

Imeandaliwa: Tarehe 05 – Safar – 1442H ≈ 22 – September – 2020M.

Kupata faida nyingi tembelea website yetu kwa kubonyeza hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

Usikose kuungana nasi Telegram kwa kubonyeza hapa: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Muhimu: Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

1 Comment

  1. Bariki Baruti),abuu suhayl)

    Tunapata fawaida

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *