02 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: لماذا خلقك الله؟

swali: Kwanini Allah amekuumba?

ج: ِلعبَادَتِهِ.

Jawabu: (Ameniumba Allah) kwa ajili ya kumuabudu.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri: Haoa Mzazi /Mlezi utamwambia mtoto lengo kuu la kuumbwa ni kumuabudia Allah, Na hapa pia unamtolea mifano ya ibada kama swala, kuomba dua, kutegemea Allah n.k, na msingi wa ibada zote ni kumpwekesha Allah. Usikose makala namba 03 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 26 – Safar – 1442H ≈ 13 – October – 2020M.

Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *