04 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٤

Swali no. 4:

ماَ دِيْنُكَ؟

Ni ipi dini yako?

ج: الإِسْلاَمُ

Jawabu:

(Dini yangu) ni Uislamu.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri:

Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli na maana yake ni: Kujisalimisha kwa Allah kwa kumuabudu yeye peke yake na kumnyenyekea kwa kumtii na kujitenga mbali na ushirikina na watu wake (washirikina).

Utamwambia kuwa uislamu wa mtu hautimii mpaka auchukie ushirikina na watu wake (washirikina), kwa maana ni lazima azichukie dini zote za kishirikina na kikafiri na watu wake na kuitakidi kuwa dini ya haki ni uislamu tu.

Usikose makala namba 05 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 28 – Safar – 1442H ≈ 15 – October – 2020M.

Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net

Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *