08 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٨

Swali no. 8:

مَا مَعْنَى: اللّٰهُ رَبُّنَا؟

Nini maana ya Allah ni Mola wetu Mlezi?

ج:

Jawabu:

خَاِلقُنَا وَرَازِقُنَا وَحْدَه.

(Maana yake) ni muumba wetu na (ndiye) anayeturuzuku pekee.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri:

Hapa Mzazi /Mlezi utamuelezea mtoto kuwa kuna neema ya kuumbwa na neema ya kuruzukiwa viumbe vyote vinashirikiana, isipokuwa waislamu (waumini) Allah amewakirimu zaidi kwa kuwaruzuku neema ya imani (uislamu). Kwa maana neema ya kuruzukiwa dini na imani (neema ya tauhidi, neema ya kumpwekesha Allah) neema hii wameruzukiwa waislamu peke yao, na hii ndiyo riziki kubwa kuliko riziki ya kimwili ambayo makafiri na wanyama wote wanashirikiana na waislamu.

Usikose makala namba 09 inayofuata in shaa Allah.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 07 – Rabi’u-Awwal – 1442H ≈ 24 – October – 2020M.

Tembelea website yetu: ⇩⇩ https://www.fawaidusalafiya.net

Kupata faida nyingi ungana nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Kupata darasa za ndoa jiunge nasi Telegram kwa kubonyeza link hii: https://t.me/Darasazandoa

Jiunge nasi: Instagram, Twitter, facebook na you tube: @fawaidusalafiyatz

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *