25 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س رقم: ٢٥

Swali no. 25:

مَا هُوَ حَقُّ حُكَّامِنَا؟

Ni zipi haki za viongozi wetu?

ج:

Jawabu:

السَّمْعُ وَ الطَّاعَةُ لَهُمْ بِالْمَعْرُوْفِ.

Ni kuwasikiliza na kuwatii kwa wema.

سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان المزروعي.

[ Mtiririko wa vikadi: Itikadi kwa chipukizi (vitoto) vya kiislamu, Mtunzi: D. Ahmad bin Mubaarak bin Qadh-laan Al-maz-ruuiy ]

Maelezo ya Mfasiri:

Mzazi /Mlezi hapa utamuelezea mtoto kuwa: Kuwatii viongozi wetu wa kiislamu ni wajibu na ni haramu kupambana na viongozi, kiongozi hata akifanya uovu kiasi gani si ruhusu kupambana naye maadam hajakufuru na hata akikufuru pia hauruhusiwi kupambana naye mpaka uwe na uwezo wa hilo na kusiwepo na madhara makubwa zaidi, kiongozi akiamrisha uovu hatumtii katika huo uovu lakini tunamtii katika nafasi yake na uongozi wake. Kwa hiyo haifai kuleta mabalaa na choko choko katika nchi za kiislamu na za kikafiri pia hata kama kiongozi ni kafiri kwa sababu madhara yatakayotokea ni makubwa zaidi katika hali ambayo waislamu hawana uwezo wa kupambana na makafiri. Kadi hii namba 25 ndio ya mwisho ya mfululizo huu. Barakallahu fiykum

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 06 – Rabi’ul – aakhir ≈ 21 – November – 2020M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *