Namna ya kuswalia jeneza (maiti) [ no. 01)

https://www.fawaidusalafiya.net

سلسلة أحكام الجنائز.

MLOLONGO (MFULULIZO) WA HUKUMU ZA MAITI (NO. 32)

☞ NAMNA YA KUSWALIA JENEZA (MAITI)

Makala namba 01:

Jeneza huwekwa upande kwa kiblah, kinatakiwa kichwa cha maiti kielekee upande wa kuliani mwa kiblah na miguu yake ielekee kushotoni mwa kiblah, Kisha imamu anasimama usawa wa kichwa cha maiti ikiwa maiti ni mwanaume na usawa wa katikati (kiunoni) mwa maiti ikiwa maiti ni mwanamke. Ufafanuzi: Huu ndio mwenendo wa Mtume katika kuswalia maiti husimama usawa wa kichwa cha maiti mwanaume na usawa wa katikati kwa maiti mwanamke, hekima ya hilo la kusimama katikati ya usawa wa mwanamke wanachuoni wengine wanasema ni kumzuia na wanaume, lakini maadamu suna imethibiti basi ni kufuata tu sawa sawa tujue hekima au tusijue. Itaendelea in Shaa Allah, usikose makala namba 02.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 08 – Rabi’ul – aakhir ≈ 23 – November – 2020M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *