04- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

04- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu

Makala namba 4:

التّأنِّي:

Utaratibu:

قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَى اللّٰهِ عَلَىيْهِ وسَلّمَ: التّأنِّي مِنَ اللَّٰه والعَجَلَةُ مِنَ الشَّيْطَانِ صَحِيحُ الجَامِعِ (٣٠١١)

Amesema Mtume – swala na salamu za Allah ziwe juu yake: Utaratibu /Upole unatoka kwa Allah na haraka /papara zinatoka kwa shetani Swahihi aljaamii namba (3011)

[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ٤ ]

Maelezo:

Mzazi /mlezi inatakikana umfahamishe mtoto ubora wa tabia ya kuwa makini, upole na kutokuwa na papara bali alichunguze jambo kabla ya kuliendea jambo tabia ya kuwa na utaratibu na upole ni tabia ambazo Allah – aliyetukuka – anazipenda kama Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie – alivyomwambia Al-ashajju bin Qais, na kutokuwa na utaratibu na umakini na upole katika mambo mbalimbali hupelekea matokeo mabaya na majuto.

Usikose makala namba 5, in Shaa Allah..

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 10/ Jumaadal-ulaa, 1442H ≈ 25/December, 2020M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *