11- Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya tabia za mtoto wa kiislamu
Makala namba 11:
الصَّبْرُ:
Kusubiri:
قَالَ رَسُوْلُ اللَّٰهِ صَلَى اللّٰهِ عَلَىيْهِ وَسَلّمَ:
Amesema Mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake
” مَنْ يُرِدِ اللَّهُ بِهِ خَيْرًا يُصِبْ مِنْهُ.”
Mtu ambaye Allah anamtakia kheri humpa mitihani.
رواه البخاري ( ٥٦٤٥)
[ سلسلة براعم بينونة أخلاق الطفل المسلم – ١١ ]
Maelezo:
Mzazi /Mlezi inatakikana umfundishe mwanao tabia ya kuwa na subira na umfahamishe kuwa muislamu anapopewa mtihani kama maradhi, njaa, kufiwa n.k atambue kuwa Allah – aliyetukuka – anamsafisha na madhambi lakini kwa sharti pindi atakapopatwa na mtihani huo asubiri na ataraji malipo kutoka kwa Allah na wala asilalamike.
Usikose makala namba 12, in Shaa Allah..
Mfasiri: fawaidusalafiya.net
Imeandaliwa: Tarehe 24/ Jumaadal-ulaa, 1442H ≈ 08/ Jan, 2021M. Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•