Hawa ndiyo wenye kumdhulumu mwanamke

https://www.fawaidusalafiya.net

HAWA NDIYO WENYE KUMDHULUMU MWANAMKE!

Amesema Sheikh Fauzaan Al-fauzaan – Allah amuhifadhi:

“ Hawajatambua kuwa kumdhulumu mwanamke ni kumuweka sehemu isiyokuwa yake (kimajukumu), Kubebeshwa (majukumu) yale asiyoyaweza, kuingizwa katika fitna (mabalaa), kutolewa nyumbani kwake bila ya aibu na bila ya vidhibiti vya kisheria ”

Kusikiliza sauti ya Sheikh ingia hapa: ⬇️ https://youtu.be/zaciAHqt8Ek

Maelezo ya Mfasiri:

Wanaodai kuwa Uislamu umemdhulumu mwanamke katika makafiri wa kiyahudi na kinaswara na Washirikina na wanaofuata mienendo yao wajue kuwa wao ndiyo wanaomdhulumu mwanamke kwa kumpa majukumu yasiyokuwa yake na yasiyoendana na maumbile yake! Mfano sasa hivi tunawaona makonda wanawake! tunawaona wanawake wakifanya kazi za kiume, tunawaona wanawake wakienda katika maofisi yenye mchanganyiko wa jinsia mbili na kinachotokea ni balaa tupu! tunawaona wanawake wakitoka majumbani mwao bila ya heshima na kujistiri! Bila shaka hii ni dhulma kubwa kwa mwanamke lau wangejua! Allah atupe afya na salama.

Mzungumzaji: Sheikh Swaalih Fauzaan Al-fauzaan

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 08/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 21/ Jan, 2021M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *