https://t.me/fawaidussalafiyatz MFULULIZO WA MAKALA ZINAZOHUSIANA NA MASUALA YA BIASHARA!
MAKALA NAMBA 06;
SHARTI ZA BIASHARA YA KUTANGULIZA THAMANI NA KUCHUKUA BIDHAA BAADAE.
الثالث: أن يذكر قدره بالكيل في المكيل، وبالوزن في الموزون، وبالذرع في المذروع.
3 – (Sharti ya) tatu: Ataje kiwango chake kwa (kipimo cha) ujazo katika (kile kinachopimwa) kwa ujazo na kwa uzito katika (kile kinachopimwa) kwa uzito na kwa urefu katika (vile vinavyopimwa) kwa urefu.
فتاوى اللجنة الدائمة – المجموعة الأولى . باب السلم (١٤/٩٣)
Maelezo:
Sharti ya tatu ya biashara ya ssalam ni lazima kutaja kiwango cha hiyo bidhaa kama inapimwa kwa uzito basi ataje kilo ngapi na kama inapimwa kwa ujazo basi ataje pishi ngapi na kama inapimwa kwa dhiraa /urefu/upana basi ataje upana wake au urefu wake, kwa sababu bidhaa isipojulikana kiwango chake inakuwa ni vigumu muamala huu kutimia kwa kufuata sheria.
ITAENDELEA.. Usikose makala namba 07 itakayoelezea sharti ya pili in shaa Allah.
Muandaaji: fawaidusalafiya.net. Tembelea website yetu: ☟ https://www.fawaidusalafiya.net Telegram bonyeza hapa: ☟ https://t.me/fawaidussalafiyatz 🗓️ Imechapishwa: Sha’aban 07, 1442H ≈ March 20, 2021M.
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾 https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•