https://t.me/fawaidussalafiyatz MFULULIZO WA MAKALA ZINAZOHUSIANA NA MASUALA YA BIASHARA!
MAKALA NAMBA 07;
SHARTI ZA BIASHARA YA KUTANGULIZA THAMANI NA KUCHUKUA BIDHAA BAADAE.
الرابع: أن يشترط لتسليمه المسلم فيه، أجلا معلوما.
4 – (Sharti) ya nne: Kuwekwe sharti ya kusalimisha (kukabidhi) bidhaa (kwa) muda maalumu.
فتاوى اللجنة الدائمة – المجموعة الأولى . باب السلم (١٤/٩٣)
Maelezo:
Lazima muuzaji aweke wazi muda kwa mwezi au miezi miwili au mwaka au miaka miwili. Kwa kifupi ni lazima huyu muuzaji wa biashara hii (Muslim) /yule atakayeisalimisha bidhaa baada ya muda ataje muda kama ni baada ya mwezi au miezi miwili basi alibainishe hilo katika kikao cha kuuziana,
kama alivyosema Mtume – swala na salamu zimfikie -: ” …إِلَى أَجَلٍ مَعْلُوْمٍ …” “…kwa muda maalumu..”.
ITAENDELEA.. Usikose makala namba 08 in shaa Allah.
Muandaaji: fawaidusalafiya.net. Tembelea website yetu: ☟ https://www.fawaidusalafiya.net Telegram bonyeza hapa: ☟ https://t.me/fawaidussalafiyatz 🗓️ Imechapishwa: Sha’aban 09, 1442H ≈ March 22, 2021M.
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾 https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•