Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
” إِنَّ رَبِّي لَطِيفٌ لِّمَا يَشَاءُ ۚ إِنَّهُ هُوَ الْعَلِيمُ الْحَكِيمُ ”
{Hakika Mola wangu mlezi ni Mpole kwa alitakalo.Bila shaka yeye ni Mjuzi Mwenye hekima }
يوسف ( ١٠٠)
“فكان ظاهر ما امتُحن به يوسف من مفارقة أبيه، وإلقائه في الجب، وبيعه رقيقا،ثم مراودة التي هو في بيتها له عن نفسه، وكذبها عليه،وسجنه، محناً ومصائب، وباطنها نعما ومنَحا،جعلها الله سببا لسعادته في الدنيا والآخرة”
” Basi ulikuwa udhahiri wa yale aliyotahiniwa Yusuf kama vile kutengana na baba yake na kutupwa kisimani,na kuuzwa (kama) mtumwa ,kisha kutakwa (afanye machafu) na yule (mwanamke) ambaye yeye (Yusuf) alikuwa nyumbani kwake ,na uwongo wa huyo (mwanamke ) juu ya (Yusuf) ,na kufungwa (gerezani) ni mitihani na mabalaa , na undani wake (hiyo mitihani) ni neema na vipawa , Allah aliifanya (mitihani) hiyo ni sababu ya furaha yake duniani na akhera
📚 شفاء العليل لابن القيم (١/١٤٨)
Maelezo :
Unaweza ukapata matatizo na mitihani mbali lakini kumbe hayo matatizo mwisho wake ni neema na raha duniani na akhera kama ilivyotokea kwa Nabii Yusuf -amani iwe juu yake- baada ya hiyo mitihani akawa ni kiongozi mkubwa katika serikali .
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Ramadhani 13, 1442H ≈ April 25, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•