https://t.me/fawaidussalafiyatz
Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
💥دفـــــاعــًا عن العلامــة الألباني رحمه الله 💥
Kumtetea mwanachuoni mkubwa Al-albaniy- Allah amrahamu-
الإمام الألباني – رحمه الله – من أكثر العلماء توجيهًا بترك الدخول في السياسة
ومن أكثر كلماته:
“من السياسة ترك السياسة”.
حتى رماه بعض رموز الإخوان بسببها:
بالعلمانية
Imamu Al-albaniy -Allah amrahamu-ni katika wanachuoni wenye kukithirisha mno kutoa muongozo wa kuacha kuingia katika siasa na miongoni mwa maneno yake mengi (aliyoyazungumza) :
” Katika siasa ni kuacha siasa
“.Mpaka baadhi ya viongozi wa Muslim brotherhood wakamtupia tuhuma ya (madhehebu) ya kutenganisha dini na dunia
ثم تأتي بعض القنوات فيرمونه برئاسة وتكوين حزب ديني سياسي.
ولكن بحمد الله تراث الشيخ الصوتي والكتابي شاهد له وعليهم.
شاهد لأهل عصرنا، وللأجيال من بعدنا.
kisha vinakuja baadhi ya vituo vya matangazo vinamtupia tuhuma ya uongozi (wa kisiasa) na kuanzisha chama cha kisiasa cha kidini .
Lakini sifa zote njema ni za Allah mirathi ya kielemu ya sheikh Al-albaniy ya sauti na maandishi inatomlea ushahidi wa kumtetea (sheikh) na kuwafedhehesha hao (waongo).
(Hivi alivyoviacha) vinatoa ushahidi kwa watu wa zama zetu ,na kwa vizazi baada yetu .
كتبه الشيخ الفاضل :
عبد القادر الجنيد حفظه الله
Ameandika: Sheikh mbora Abdul-Qaadir Al-junaid- Allah amuhifadhi-.
Maelezo ya mfasiri:
Hii ni kawaida ya maadui wa suna na watu wake ,na maadui wa uislamu kwa ujumla kuwazushia wanachuoni wa sunnah,nakumbuka huko nyuma kituo cha matangazo cha BBC kiliwahi kumsingizia sheikh ibn Baz- Allah amrahamu- kuwa anawakufurisha wanaosherehekea Maulidi , na hapa nakumbuka ule msemo wa waarabu usemao :
ما أشبه الليلة بالبارحة.
Kwa hiyo hii ni kawaida ya watu wapotevu kufanya juhudi katika kuwapaka matope wanachuoni wa sunnah ili waporomoke katika macho ya watu na watu wasifaidike na elimu yao, lakini hawatofanikiwa !.
قام بهذه الترجمة: أبو ثرياء إسماعيل بن سيف امبوندي الشافعيّ
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-Qaadah 21, 1442H ≈ Jul 1, 2021M.
#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•