NYAKATI ZA KUCHINJA UDH’HIYAH

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

وقت ذبح الأضحية.

WAKATI WA KUCHINJA (VICHINJWA VYA) UDH’HIYAH

قال العلامة ابن عثيمين- رحمه الله- :

Amesema mwanachuoni mkubwa ibn ‘Uthaimin- Allah amrahamu-:

وقت ذبح الأضحية أربع ايام:

وأوله من بعد صلاة العد،
وثلاث ايام بعده،
وينتهي بغروب اليوم الثلاث عشر،
ويجوز الذبح في الليل والنهار.

Nyakati za kuchinja (vichinjwa vya) udh’hiyah ni siku nne:

Siku yake ya kwanza ni baada ya swala ya eid,

na siku tatu baada ya hiyo (siku ya eid),

na unamalizika (muda wake) kwa kuzama jua siku ya kumi na tatu,

na inafaa (inaruhusiwa) kuchinja usiku na mchana (pia).

📚 فتاوى ابن عثيمين (١٦٧/٢٥)

[ Fataawaa Ibn Uthaimin (25/167) ]

Maelezo ya mpitiaji :

Hizi ndizo nyakati za kuchinja :

Siku kwanza ni tarehe kumi (10) ambayo ni siku ya sikukuu ,na muda wa kuchinja unaanza baada ya swala ya eid ,na kama eid haikuswaliwa basi utakadiriwa muda ambao unaweza kuswaliwa rakaa mbili za eid na khutabah mbili khafifu.

Na siku zinazofuata ni tarehe kumi na moja (11) ,na kumi na (12) ,na kumi na (13) baada ya kuzama kwa jua ndiyo mwisho wa kuchinja , na pia mtu anaruhusiwa kuchinja usiku kama ilivyo nchana ,lakini katika madhehebu (ya kishafii) inachukiza kuchinja usiku yaani haipendezi lakini akichinja ibada yake imesihi .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa: August 10,2019M ukarudiwa kurushwa tena 1, Dhul-Hijjah ,1442H ≈ Jul,11, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *