ADABU ZA MKE KATIKA KUISHI NA MUMEWE [10]

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

๐ŸŒธุขุฏูŽุงุจู ุนูุดู’ุฑูŽุฉู ุงู„ุฒู‘ูŽูˆู’ุฌูŽุฉู ู„ูุฒูŽูˆู’ุฌูู‡ูŽุง

ADABU ZA MKE KATIKA KUISHI NA MUMEWE.

Makala namba (10):

๐Ÿ’ ุฅู„ูŠูƒ ูŠุง ุฃูŠุชู‡ุง ุงู„ุฒูˆุฌุฉ ู‡ุฐู‡ ุงู„ุขุฏุงุจ ูุฅู† ุนู„ูŠูƒ ู…ุซู„ ู…ุง ุนู„ู‰ ุงู„ุฒูˆุฌ ู…ู† ุญู‚ูˆู‚ ูˆูˆุงุฌุจุงุช ูˆุญุณู† ุนุดุฑุฉ , ูู…ู† ุฐู„ูƒ :

Chukua ewe mke hizi adabu, hakika bila shaka kuna haki zinazowajibika kwako kumfanyia mumeo mfano wa zile haki zinazowajibika kwa mume kumfanyia mkewe ambazo ni haki (mbalimbali) na (mambo) ya wajibu, na kuishi kwa wema, na miongoni mwa hizo (adabu ni) :
๐Ÿ’
๐ŸŒธ
ูกู - ุงุฑุถูŠ ุจู…ุง ูŠุฑุถูŠู‡ ููŠู…ุง ููŠู‡ ุฑุถู‰ ุงู„ู„ู‡ ูˆู„ุง ุชูƒูˆู†ูŠ ูˆู‚ุช ุฑุถุงู‡ ุณุงุฎุทุฉ ูˆูˆู‚ุช ุณุฎุทู‡ ุฑุงุถูŠุฉ.
๐ŸŒธ
10- Ridhia kwa yale anayoyaridhia (mumeo) katika yale ambayo Allah anayaridhia, na wala usiwe mwenye kukasirika pindi mumeo anapokuwa ni mwenye kuridhia, na wala usiwe ni mwenye kuridhia pindi anapokuwa amekasirika .

๐Ÿƒ๐Ÿ‚๐Ÿƒ๐Ÿ‚๐Ÿƒ

๐ŸŒธMaelezo ya mfasiri:

๐ŸŒธSheikh- Allah amuhifadhi- anataja adabu ya kumi (10) katika adabu za mke kuishi na mumewe nayo: Mke anatakiwa ayaridhie yale anayoyaridhia mumewe katika yale ambayo Allah anayaridhia mfano: kama mume anaridhia kumuona mkewe ni mwenye kutabasamu basi mke anatakiwa adhihirishe tabasamu mbele ya mumewe, mume akiwa anaridhia kumuona mkewe amevaa nguo ya aina fulani basi mke avae nguo hiyo. Kwa hiyo kila jambo ambalo mume analiridhia na ndani yake kuna kupata radhi za Allah basi anatakiwa mke amfanyie mumewe ama likiwa ni la haramu hatoruhusiwa kumridhisha mume katika hili.

Vile vile mke anatakiwa ashirikiane na mumewe katika raha na shida mfano kama mume atakuwa amepatwa na mtihani uliomkosesha raha basi mke anatakiwa aoneshe kuwa hana raha kama mumewe, na wala asioneshe hali iliyo kinyume na mumewe kwa maana akawa na furaha na hali ya kuwa mumewe yupo katika majonzi, hali hii itapelekea kupungua mapenzi ya mume kwa mke .

Pia mume anapokuwa na furaha na raha naye mke anatakiwa adhihirishe furaha na raha ili ashirikiane na mumewe katika hiyo furaha na raha hata kama yeye alikuwa hana raha .

Na hivi ndivyo walivyokuwa wanawake wa wema waliopita hebu tusome tukio hili walikuwa wakishirikiana na waume zao katika hali zote za raha na shida .

ุจูƒู‰ ุนุจุฏ ุงู„ู„ู‡ ุจู† ุฑูˆุงุญุฉ ูุจูƒุช ุงู…ุฑุฃุชู‡ ูู‚ุงู„ ู„ู‡ุง : ู…ุง ูŠุจูƒูŠูƒ ุŸ

Abdullah bin Rawaahah alilia, basi mkewe (naye) akalia muda huo huo, basi (Abdullah) akamuuliza huyo (mkewe) : Kipi kinakuliza ?

ู‚ุงู„ุช : ุฑุฃูŠุชูƒ ุชุจูƒูŠ ูุจูƒูŠุช ู‚ุงู„ : ุฅู†ูŠ ุฐูƒุฑุช ู‡ุฐู‡ ุงู„ุขูŠุฉ { ูˆ ุฅู† ู…ู†ูƒู… ุฅู„ุง ูˆุงุฑุฏู‡ุง }

(Mwanamke) akasema: Nimekuona ukilia basi na mimi nikalia, akasema (Abdullah): Hakika mimi nimekumbuka aya hii :

{Na hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa atauingia huo (Moto)}

ูˆ ู‚ุฏ ุนู„ู…ุช ุฃู†ูŠ ุฏุงุฎู„ู‡ุง ูู„ุง ุฃุฏุฑูŠ ุฃู†ุงุฌ ู…ู†ู‡ุง ุฃู†ุง ุฃู… ู„ุง

Na bila shaka najua kuwa mimi ni mwenye kuungia huo (moto kwa kuuvuka) basi mimi sijui ni mwenye kuokoka kutokana na huo (moto) au laa .

ุงู„ู…ุตุฏุฑ : ุงู„ุชุฎูˆูŠู ู…ู† ุงู„ู†ุงุฑ ูˆุงู„ุชุนุฑูŠู ุจุญุงู„ ุฏุงุฑ ุงู„ุจูˆุงุฑ
ุงู„ู…ุคู„ู: ู„ุฃุจูŠ ุงู„ูุฑุฌ ุนุจุฏ ุงู„ุฑุญู…ู† ุจู† ุฃุญู…ุฏ ุจู† ุฑุฌุจ ุงู„ุญู†ุจู„ูŠ

Mchanganuo:

Hebu tazama huyu mwanamke – Allah amrahamu – alilia pindi alipomuona mumewe akilia, bila shaka haya ni mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mumewe kiasi ambacho anashirikiana naye katika huzuni na raha .

ุฃุนุฏู‡ :
๐Ÿ–Š ุงู„ุดูŠุฎ ุฃูŽุญู’ู…ูŽุฏู ุจู’ู†ู ู…ูุจูŽุงุฑูŽูƒู ุจู’ู†ู ู‚ูŽุฐู’ู„ูŽุงู†ูŽ ุงู„ู’ู…ูŽุฒู’ุฑููˆู’ุนููŠู‘- ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‘ู‡-

Ameiandaa : Sheikh Ahmad bin Mubarak bin Qadhlan Al-Mazru’iy – Allah amuhifadhi .

Tarjama : Ismail Seiph Mbonde .
๐Ÿƒ๐Ÿ‚๐Ÿƒ๐Ÿ‚๐Ÿƒ
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ˜Ÿ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ˜Ÿ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

๐Ÿ—“๏ธ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 14, 1442H โ‰ˆ Jul 24, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na channel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     โ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ขโœฟโโœฟโ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ข

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *