MTO (PILLOW) WA KABURINI

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

MTO (PILLOW) WA KABURINI

◾️ عن الحسن البصري -رحمه الله- قال:

Kutoka kwa Al-hasan Al-baswary Allah amrehemu amesema:

«يتوسد المؤمن ما قدم من عمله في قبره ، إن خيرا فخير ، وإن شرا فشر ، فاغتنموا المبادرة رحمكم الله في المهلة».
📚[الزهد لابن أبي الدنيا (58)].

“Muumini ataegemeza kichwa chake (atayafanya mto) kaburini kwake yale aliyoyatanguliza katika matendo yake ,kama (ametanguliza) kheri basi (ataegemea) kheri,na kama ni shari basi (ataegemea shari,basi fanyeni haraka -Allah akurehemuni – katika muda mchache ulobakia.”

الزهد لابن أبي الدنيا (58).

✍🏻قال الشيخ عبد الرزاق البدر -حفظه الله- معلقا:

Amesema Shekh Abdurraazak Al-badr -Allah amuhifadhi – katika hali ya kuyawekea maelezo mafupi (maneno) hayo:

“فليحرص الناصح لنفسه على إطابة هذه الوسادة وإصلاحها وتزيينها قبل أن يدرج في قبره.

Basi na apupie mwenye kuinasihi nafsi yake juu ya kuufanya uwe mzuri huu mto na kuutengeneza na kuupamba kabla ya kukunjwa (na kuingizwa) ndani ya kaburi lake,

قال الله تعالى:

{وَمَنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِأَنْفُسِهِمْ يَمْهَدُونَ}

قال مجاهد رحمه الله: «يسوّون المضاجع» أي: القبور”.

Amesema Allah aliyetukuka:

{Na wenye kufanya matendo mema ni kwa ajili ya nafsi zao wanajiandalia} .

Akasema Mujaahid- Allah amrehemu (maana yake):

“wanasawazisha /wanaweka sawa sehemu zao za kulala” anakusudia makaburi.”

Chimbuko:

https://www.al-badr.net/muqolat/6155
↪️ https://t.me/zadeelmehaj

Maelezo ya muandaaji:

Je wewe ndugu yangu umeuandaa mto huu utakaoegamia kichwa chako kaburini ?! ,na wala usiwe kama wale ambao wanaiandaa mito mizuri kwa ajili ya kulala katika vitanda vyao vya dunia na hali ya kuwa wanaweza wakaviacha muda wowote !.

Imepitiwa na : Ismail Seiph Mbonde .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 15, 1442H ≈ Jul 25, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *