TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA .
Makala namba (5):
عقيدة الرافضة في أم المؤمنين عائشة بنت الصديق- رضي الله عنهما-
ITIKADI (CHAFU) YA MASHIA KWA MAMA WA WAUMIN ‘AISHA BINT SWIDDIQ -ALLAH AMRIDHIE- YEYE NA BABA YAKE:-
قال ابن رجب البرسي- في كتابه (( مشارق أنوار اليقين )) ص ٨٦ ما نصه:
Amesema ibn Rajab Al-bursiy Katika kitabu chake (Mashaariq anuwaar l-yaqiin) ukurasa 86 ambayo maelezo yake (ni):
(إن عائشة جمعت أربعين دينارا من خيانة – أي من الزنا -)
(Bila shaka ‘Aisha alikusanya dinari arobaini zinazotokana na khiyana -yaani uzinifu)
UFAFANUZI WA MWANDISHI:- ✍🏾
Maana ya maneno haya ya mwanachuoni huyu mkubwa wa kishia ni kwamba mama Aisha (Allah amridhie) alikuwa mzinifu! yaani ina maana mtume (swala na salamu za Allah zimfikie) alikuwa na mke mzinifu! enyi waislamu zindukeni na tambueni kuwa hawa si waislamu huu ni uyahudi ambao lengo lao ni kuwajenga waislamu wakawa ni wenye kuwachukia watu wakaribu wa mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- sasa muislamu hebu angalia miongoni mwa maneno ya mwanachuoni miongoni mwa miongoni wa kiislamu kuhusu hukumu ya mwenye kumtuhumu mama Aisha tuhuma hii mzito:
عياذا بالله تعالى.
“Tunaomba kinga kwa Allah”
🎙 قال الإمام ابن كثير الشافعي – رحمه الله-:
AMESEMA AL-IMAAMU IBN KATHIIR MSHAFII:
-ALLAH AMRAHAMU-
”وقد أجمع العلماء رحمهم الله قاطبة على أن من سبها بعد هذا ورماها بما رماها به بعد هذا الذي ذكر في هذه الآية, فإنه كافر, لأنه معاند للقرآن.“
“Na bila shaka wanachuoni -Allah awarahamu- wote wamekubaliana juu ya kuwa mwenye kumtukana mama Aisha baada ya hili (la kutakaswa) na akamtupia (tuhuma) atakazomtupia kwazo baada ya huu (utakaso) ambao umetajwa katika aya hii bila shaka (mtu huyo) ni kafiri kwa sababu ni mwenye kuikanusha qur’an.”
📚 REJEA: ⇊
تفسير ابن كثير عند تفسير قوله ( إن الذين يرمون المحصنات،) النور 23
[ Tafsir ya ibn Kathir katika tafsir kauli yake Allah { Hakika wale wanaowatupia waumini wakike (tuhuma za uzinifu), suratu nnur:23 ]
✍🏾
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Assha’afiy .
━════
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Tolea la kwanza: Mfungo tano 29,1439H sawa na tar.8/11/2017M ,toleo la pili :Mfungo tatu 29, 1442H ≈ August 8, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•