Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
حرص السلف الصالح على صيام عاشوراء
PUPA YA WEMA WALIOPITA JUU FUNGA YA ‘AASHURAA
كان الزهري – رحمه الله- في سفر،فصام عاشوراء،
(Siku moja) imamu Azzuhriy- Allah amrahamu- alikuwa kuwa safarini,
(na alikuwa) amefunga (funga ya) ‘Aashuraa,
فقيل له : لم تصوم وأنت تفطر في رمضان في السفر ؟
basi akaulizwa:
Kwanini unafunga (‘Aashuraa),
na hali ya kuwa wewe unafungulia Katika funga ya ramadhani ukiwa safarini?
فقال:إن رمضان عدة من أيام أخر .وإن عاشورء يفوت .
basi (imamu Azzuhriy) akajibu:
Hakika ramadhani inamasiku mengine (ya kulipa)
na hakika ‘Aashuraa hupita (hailipwi).
📚 سير أعلام النبلاء (342/5)
[ Siyaru A’laami nnubalaa (5/342) ]
Maelezo kutoka kwa mfasiri- Allah amuhifadhi
Hii ndiyo nafasi ya funga ya ‘Aashuraa kwa wema waliopita , na sisi waislamu tunatakiwa tufuate nyayo zao, kwa hiyo haipendezi kwa muislamu tena ni katika watu wanaojinasibisha na wema waliopita na tena ni katika wanafunzi wa elimu ya kisheria akaacha kufunga funga ya ‘Ashuraa, funga hii ambayo ubora wake unafahamika, ila kwa yule mwenye dharura ya kutofunga kama mgonjwa au mwanamke aliyekuwa katika siku zake au nifasi , Allah atamlipa kwa nia yake.
•┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Assha’afiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Toleo la kwanza: September 19,2018M ,toleo jipya :Muharram/Mfungo nne 7, 1443H ≈ August 15, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•