Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
๐ูุงู ุนุจุฏ ุงููู ุจู ู ุณุนูุฏ ุฑุถู ุงููู ุนูู:
Amesema Abdullah bin Masu’ud-Allah amridhie-:
ยซุฅูููู ุฃูุตูููุฑู ุงููุจูููููุชู ุงูููุฐูู ุฃูุตูููุฑ ู ููู ููุชูุงุจู ุงููููฐูยป
“Bila shaka nyumba isiyokuwa na kitu zaidi ni ile ambayo imeepukana na kitabu cha Allah ” .
๐ู ุตูู ุงุจู ุฃุจู ุดูุจุฉ (ูฃู ู ูขูค).
ูุงู ุงูุดููุฎู ุนูุจุฏู ุงูุฑููุฒููุงู ุงูุจุฏุฑ – ุญูุธู ุงููู -:
Amesema sheikh Abdul-Rrazaq Al-badr- Allah amuhifadhi-:
๐ุฃู ุฃูููู ุงูุจููุช ุฎูุฑุง ูุจุฑูุฉ ุงูุจูุชู ุงูุฐู ุฎูุง ู ู ูุชุงุจ ุงููู ุฃู ูุชูู ูููุ ููุฐุง ู ู ุญูุฉ ูุจุฑูุฉ ุงูุจูุช ู ุฌูุจุฉ ููุดูุงุทูู ุฅูููุ
Maana (yake ni hii) : Nyumba yenye heri chache zaidi na baraka ni nyumba ambayo imeepukana ndani yake kusomwa kitabu cha Allah , na hili ni lenye kuondoa baraka ya nyumba na nilenye kuwavuta Mashetani katika hiyo (nyumba),
ุนููู ุฃูุจูู ููุฑูููุฑูุฉู -ุฑูุถููู ุงููููฐูู ุนููู- ูุงู ูููู :
Kutoka kwa Abuu Hurairah- Allah amridhie- anasema-:
ุฅูููู ุงููุจูููุชู ููููุชููุณูุนู ุนูููู ุฃููููููู ููุชูุญูุถูุฑููู ุงููู ูููุงุฆูููุฉู ููุชูููุฌูุฑููู ุงูุดููููุงุทูููู ุ ููููููุซูุฑู ุฎูููุฑููู ุฃููู ููููุฑูุฃู ููููู ุงููููุฑูุขูู ุ
Bila shaka nyumba huwa na wasaa kwa watu wake na huihudhuria Malaika, na Mashetani huikimbia, na heri zake hukithiri (yote haya pindi) kutaposomwa qurani ndani ya (nyumba) hiyo,
ููุฅูููู ุงููุจูููุชู ููููุถูููู ุนูููู ุฃููููููู ููุชูููุฌูุฑููู ุงููู ูููุงุฆูููุฉู ุ ููุชูุญูุถูุฑููู ุงูุดููููุงุทูููู ุ ููููููููู ุฎูููุฑููู ุฃููู ููุง ููููุฑูุฃู ููููู ุงููููุฑูุขูู “
na bila shaka nyumba huwa na dhiki juu ya watu wake, na Malaika huihama na huihudhuria Mashetani na hupungua heri zake (ikiwa) haisomwi ndani yake quran.
๐ ุฑูุงู ุงูุฏุงุฑู ู (3309).
๐ฅhttp://al-badr.net/muqolat/5118
Maelezo ya mtarjumu:
Nyumba ambayo haisomwi ndani yake qurani hiyo ni nyumba isiyokuwa na kitu zaidi kuliko nyumba zote yaani haina baraka wala heri,hata kama ndani yake ina samani/fenicha za bei ya juu , au ikawa imepambwa ndani yake , na ndani yake kukawa na mapambo mbalimbali ya kidunia lakini maadamu haisomwi ndani yake qurani basi nyumba hiyo haina kitu ! kwa maana imeepukana na baraka na heri.
Kama ilivyotajwa katika hadithi kuwa nyumba ambayo haisomwi ndani yake qurani:
Huwa ni dhiki kwa watu wake hata kama ni pana lakini wakazi wake hukosa raha na utulivu .
Malaika wa heri na rehma huikimbia
Huihudhuria Mashetani .
Hupungua heri zake huwenda wakaruzukiwa kingi lakini kikawa hakiwatoshi.
Na kinyume cha nyumba hii :
Nyumba ambayo husomwa ndani yake qurani :
Huwaenea watu wake na kuwatosha inaweza ikawa ni nyumba ndogo lakini wakazi wa nyumba hiyo wakaiona kuwa ni pana na yenye wasaa, na Malaika na rehma huhudhuria katika nyumba hiyo,na Mashetani huikimbia na kuihama nyumba hiyo ,na heri hukithiri katika nyumba hiyo kama vile kutosheka na kile wanachokipata na heri mbalimbali .
Mtarjumu: Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshaafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
๐๏ธ Imeandaliwa: Mfungo sita 24, 1443H โ October 30, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐๐พ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
โขโโโโโขโฟโโฟโขโโโโโข