Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
❪❓❫ السُّـــ↶ــؤَالُ :
Swali:
هل للفتاة غير المتزوجة استعمال الماكياج؟
Je msichana asiyeolewa anaweza kutumia make-up ?
❪ ✅ ❫ الجَــ↶ـــوَابُ :
Jawabu:
لا مانع من تزين المرأة لوضع المكياج على وجهها، والكحل، وإصلاح شعر رأسها على وجه لا تشبه فيه بالكافرات،
Hakuna kizuizi kwa mwanamke kujipamba kwa kuweka make-up usoni mwake ,na (kupaka)wanja na kuzitengeneza nywele zake kwa sura ambayo hakuna ndani yake kujifananisha na makafiri wa kike ,
ويشترط -أيضاً- أن تستر وجهها عن الرجال الذين ليسوا محارم لها.
na kunashurutishwa pia aufunike uso wake kwa kuuepusha na wanaume ambao wanaruhusiwa kumuoa .
📚【 اللجنة الدائمة: ١٢٩/١٧ 】
Maelezo ya mtarjumu:
Mwanamke anaruhusiwa kujipamba kama vile kupaka make-up na kuzitengeneza nywele zake vizuri kama kusuka lakini asijifananishe na wanawake wa kikafiri , kwa maana kama ni kusuka asisuke mtindo ambao unajulikana kuwa ni usukaji wa wanawake wa kikafiri , na pia pindi anapojipamba haruhusiwi kuonesha mapambo kwa wanaume wa kando yaani wale ambao wanaruhusiwa kumuoa mfano anapopaka mak-up au wanja au shedo n.k, anatakiwa avae niqabu yaani ufunike uso wake mbele ya wanaume hao wa kando .
Mtarjumu : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo saba 4, 1443H ≈ November 9, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•