MIONGONI MWA ALAMA ZA KIAMA.

https://t.me/fawaidussalafiyatz

MIONGONI MWA ALAMA ZA KIAMA.

البنتتأمروالدتها_وتنهاها !!!.

Binti (atakuwa) akimuamrisha mzazi wake wa kike na akimkataza!!!

🌐 قال الشيخ العلامة الفوزان-حفظه الله – :

Amesema sheikh, mwanachuoni mkubwa Al-fauzan-Allah amuhifadhi-:

«قال بعض العلماء في تفسير قول النبي صلى الله عليه وسلم في أمارات الساعة:
👈 “أن تلد الأمة ربتها”

Wamesema baadhi ya wanavyuoni katika kutafsiri kauli ya Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie-katika (kuelezea) alama za kiama:

“Ni kijakazi kumzaa bwana wake”

أنه يكثر العقوق في آخر الزمان

حتى تصبح البنت كأنها سيدة على والدتها تأمرها وتنهاها.»

(Maana yake) kwamba kutakithiri kuwaasi wazazi (katika) zama za mwisho , mpaka binti atakuwa kama vile ni bwana juu ya mzazi wake wa kike (mama yake) anamuamrisha na kumkataza.

📚 [ شرح الأصول الثلاثة، صـ157.

Maelezo ya mtarjumu:

Watoto kuwa juu ya wazazi wao kama vile mabinti kuwa juu ya mama zao mpaka inafikia kipindi wanawaamrisha na kuwakataza na kuwafokea mama zao, hii ni katika alama za kiama.

Mtarjumu : Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo nane 3, 1443H ≈ Dec, 7, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *