ALAMA YA MWEMA NA MUOVU.

قال ابن القيم -رحمه الله- :

Amesema ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-:

” علامة السَّعَادَة:
أن تكون حَسَنَات العَبْد خلف ظَهره،
وسيئاته نصب عَيْنَيْهِ،

Alama ya wema ni kuwa mema ya mja nyuma ya mgongo wake, na maovu yake mbele ya macho yake,

• وعلامة الشقاوة:
أن يَجْعَل حَسَنَاته نصب عَيْنَيْهِ،
وسيئاته خلف ظَهره، وَالله الْمُسْتَعَان “.

Na alama ya uovu ni (mja) kuyajaalia mema yake mbele ya macho yake ,na maovu yake (akayaweka) nyuma ya mgongo wake.

Na Allah pekee ndiye wa kutakwa msaada.

📕مدارج السالكين (1/ 298).

Maelezo ya mtarjumu:

Alama ya mtu mwema ni hii :Ni mtu kuyaweka mema yake nyuma ya mgongo wake kwa maana anajiona kuwa hajafanya chochote katika mema, na anayaweka madhambi yake mbele yake, kwa maana anajiona kuwa ni mwenye makosa na madhambi.

Na alama ya mtu muovu ni kuyaweka mema yake mbele yaani hujiona kuwa yeye ni mwema,na kuyaweka maovu yake nyuma yake kana kwamba hayaoni.

Mfasiri : Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliw: Mfungo nane 17, 1443H ≈ Dec 21, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *