JE INAMLAZIMU MUME KUFANYA UADILIFU BAINA YA WAKEZE NA MAHURULAINI PEPONI ?

◾️السؤال: في الجنة يكون للرجل عدد من حور العين يفضي إليهن،فمتى يفضي إلى زوجته،

Swali : Peponi mtu anakuwa na idadi (kubwa) ya mahurulaini (na atakuwa) anawaingilia ,basi ni muda gani atamuingilia mkewe ?

وربما تكون الزوجة قد تزوجت أكثر من رجل فمات الواحد تلو الآخر، فمع من تجلس؟

Na huwenda mke akawa aliolewa na zaidi ya mwanamume mmoja na akafa mmoja baada ya mwingine ,basi huyo (mwanamke) atakuwa na nani (peponi) ?

◾️جواب العلامة ابن عثيمين رحمه الله:

Jawabu la mwanachuoni mkubwa ibn ‘Uthaimin- Allah amrahamu-:

🔺 أقول: متى يغتسل هناك إذا أصاب امرأة؟

(Na mimi) nakuuliza: Muda gani ataoga (janaba) pindi atakapomuingilia mke ?

▪️ السائل: ليس عليه غسل.

Muulizaji : Hukuna josho linalowajibika juu yake .

🔺الشيخ: إذاً ليس عليه قسم، ما يجب عليه أن يقسم بين الزوجات.
Sheikh: Kama ni hivyo (basi) hawajibika kugawa zamu ,haiwajibiki juu yake kugawa zamu baina ya wakeze .

▪️السائل: فمتى يفضي إلى زوجته؟

Muulizaji : Wakati gani atamuingilia mkewe ?

🔺الشيخ: متى ما شاء.

Sheikh: Muda (wowote) atakaotaka .

▪️السائل: طيب والحور العين؟

Muulizaji: Vizuri, na (je) Mahurulauni ?

🔺الشيخ: متى ما شاء.

Sheikh : Muda wowote atakaotaka .

▪️السائل: ألا تغار زوجته؟

Muulizaji: Mke wake hatopatwa na wivu ?

🔺الشيخ: ليس هناك غيره يا رجل! أما إذا تزوجت اثنين وكانا من أهل الجنة، فإنها تخير بينهما وتختار أحسنهما خلقاً.

Sheikh: Huko hakuna wivu ewe mwanamume! ama akiwa aliolewa na (wanaume) wawili na (wote) wakawa ni watu wa peponi, basi hakika huyo (mwanamke) ataambiwa achague baina yao na atamchagua yule (aliyekuwa) mzuri wao zaidi kitabia (duniani).

▪️السائل: وإذا تزوجت رجلاً ومات الرجل، فمع من تجلس، وهي لم تتزوج إلا واحداً؟

Muulizaji: Na pindi atakapoolewa na mwanamume mmoja na (huyo) mwanamume akafariki ,basi (huyu mke) atakuwa na nani (peponi) na yeye hakuolewa isipokuwa na (mwanamume) mmoja ?

🔺الشيخ: هو يكون زوجها وله زوجات أخرى.

Sheikh: Huyo (mwanamume) ndiye atakuwa mumewe na atakuwa na wake wengine .

🔉 لقاء الباب المفتوح (٢٠٣]

Maelezo ya mwandishi:

Mahurulaini ni wanawake weupe na wenye macho mazuri na makubwa yenye kupendeza .

Mfasiri : Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo nane 23, 1443H ≈ Dec 27, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *