سئل العلامة صالح الفوزان – حفظه الله- :
Aliulizwa mwanachuoni mkubwa Swaleh Al-fauzan- Allah amuhifadhi-:
فضيلة الشيخ وفقكم الله هذه امرأة تسأل فتقول: هل يجوز لي أن أدعو ربي بالزواج من شخص بعينه فأقول اللهم زوجني فلانا؟
Sheikh mbora -Allah akupeni taufiki- huyu mwanamke anauliza anasema :Je naruhusiwa kumuomba Allah (anijaalie) niolewe na mtu maalumu, (nikawa) nasema: Ewe Allah niozeshe fulani ?
الاحابة:
Jibu :
نعم لا بأس بذلك إذا كانت ترغب به لدينه، إذا كانت ترغب فيه لدينه تدعو الله بذلك .
Ndio ,hakuna ubaya wa hilo akiwa anampenda kwa sababu ya dini yake, akiwa anampenda kwa sababu dini yake (aliyokuwa nayo), amuombe Allah hilo .
مصدر الفتوى
📕 المنتقى من أخبار المصطفى لمجد الدين ابن تيمية رحمه الله/ السبت/٢١- جمادي الآخرة -١٤٤١هـ9
Maelezo ya mfasiri:
Mwanamke anaruhusiwa kumuomba Allah amjalie aolewe na mwanamume fulani kwa sababu ya dini yake kwa sababu dini ni jambo la mwanzo kuzingatia katika ndoa kama alivyoeleza Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie-
لقوله – صلى الله عليه وسلم –
(إِذَا خَطَبَ إِلَيْكُمْ مَنْ تَرْضَوْنَ دِينَهُ وَخُلُقَهُ فَزَوِّجُوهُ إِلَّا تَفْعَلُوا تَكُنْ فِتْنَةٌ فِي الأَرْضِ وَفَسَادٌ عَرِيضٌ)
روى الترمذي (١٠٨٤) وابن ماجة (١٩٦٧) وحسنه الألباني في صحيح الترمذي.
kwa kauli yake (Mtume) – swala na salamu za Allah zimfikie:
{ Atakakapoleta posa kwenu yule ambaye mnairidhia dini yake na tabia yake basi muozesheni, kama hamkufanya hivyo (hamkumuozesha) kutakuwa na fitna ulimwenguni na ufisadi mwingi }.
Ameipokea Tirmidhiy na Ibn Majah.
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tisa 27, 1443H ≈ Jan 30 , 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•