makala namba : (7)
قَـالَ تَعـالىٰ:
Amesema (Allah) aliyetukuka:
﴿ وَاسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ وَإِنَّهَا لَكَبِيرَةٌ إِلَّا عَلَى الْخَاشِعِين َ﴾
{ Na takeni msaada kwa kusubiri na kuswali na bila shaka hiyo (swala, au subira) ni (jambo) kubwa (zito) ila kwa wale wanyenyekevu }
البقرة. (٤٦)
قال الشيخ ابن عثيمين رحمه الله:
Amesema Sheikh Ibn ‘Uthaimin – Allah amrahamu:
من فوائد الآية،
Miongoni mwa faida za aya (hii):
أنه إذا طالت أحزانك فعليك بالصبر والصلاة،
Kwamba utakapokuwa na huzuni kwa muda mrefu basi jilazimishe na kuwa na subira na kuswali,
ومنها،
Na miongoni mwa hizo (faida za aya hii):
أن الأعمال الصالحة شاقة على غير الخاشعين،
Kwamba matendo mema ni mazito (magumu ) juu ya wale wasiokuwa na unyenyekevu,
ولا سيما الصلاة،
Na haswa swala,
أن تحقيق العبادة لله سبحانه وتعالى بالخشوع له مما يسهل العبادة على العبد،
Kwamba kuthibitisha ibada kwa Allah -utakasifu ni wake na aliyetukuka – kwa kumnyenyekea ni miongoni mwa yale yanayomuepesishia mja ibada,
فكل من كان لله أخشع كان لله أطوع.
Basi kila aliyekuwa mnyenyekevu zaidi kwa Allah huwa ni mwenye kumtii zaidi Allah.
📚 تفسير القرآن الكريم (١ / ١٦٥)
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 19, 1443H ≈ Feb 20, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•