FAIDA KUTOKA KATIKA QURANI.

Makala namba (9)

قالَ اللهُ تعالىٰ:

Amesema Allah aliyetukuka-:

﴿وَإِن تَعُدّوا نِعمَةَ اللَّهِ لا تُحصوها إِنَّ اللَّهَ لَغَفورٌ رَحيمٌ﴾.

Na kama mkihisabu neema za Allah, hamtaweza kuzidhibiti Hakika Allah ni mwingi wa kusamehe (na) mwingi wa kurehemu.

سورة إبراهيم ٣٤

‌‏قالَ طلق بن حبيب رحمه اللهُ :

Amesema Twalq bin Habib -Allah amrahamu-:

“إن حقَ اللهِ أثقلُ من أن يقوم به العباد،

Hakika haki ya Allah ni mzito zaidi (na) waja hawawezi kuitekeleza,

وإن نعمَ اللهِ أكثرُ من أن يحصيها العباد،
ولكن أصبحوا تائبين، وأمسوا تائبين”.

Na hakika neema za Allah ni nyingi zaidi (na) waja hawawezi kuzidhibiti lakini (wanatakiwa) waamke hali ni wenye kuleta toba na waingie jioni hali ni wenye kuleta toba.

تفسير ابن كثير : (٥٢٠/٢).

Maelezo ya mfasiri :

Allah anaeleza katika aya hii kuwa mwanadamu kama atahisebu neema za Allah hatoweza kuzihesabu na kizidhibiti na bila shaka ikiwa hawezi kuzidhibiti basi kuzishukuru ndiyo kabisa hawezi! lakini Allah huridhia shukurani chache za viumbe pamoja na neema zake nyingi kwao ambazo viumbe hawawezi kuzishukuru.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 25, 1443H ≈ Feb 26, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *