Makala namba (10) .
قـال الله تعالـى:-
Amesema Allah aliyetukuka-:
﴿ وَقُلْ لِعِبَادِي يَقُولُوا الَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ﴾
Na waambie waja wangu waseme (maneno) yaliyo mazuri .
سورة الإسراء ٥٣
قـال الإمــام ابــن كثيــر الشافعي – رحمه الله – :-
Amesema imamu ibn Kathir Asshafiy -Allah amrahamu-:
«يـأمر تعـالى رسـولَهﷺ أن يأمـر عبـادَ الله المؤمــنين، أن يقولـوا فـي مخـاطباتهم ، ومحاوراتهـم ، الكـلام الأحـسن ، والكـلمة الطيـبة» .
Allah anamuamrisha Mtume wake -swala na salamu za Allah zimfikie-awaamrishe waja wa Allah waumini (kwamba) wazungumze katika mazungumzo yao na majadiliano yao maneno mazuri na maneno yenye kupendeza .
“تفــسير ابـن كثيـر ٥/٨٧”
وقــال العلامــة السعــدي رحمه الله:-
Na amesema mwanachuoni mkubwa Assa’diy -Allah amrahamu-:
«الـقول الحــسن داعٍ لـكلّ خُلـق جمـيل وعـمل صـالح فـإنّ مَـن ملـك لسـانه ملـك جـميع أمـره».
Kauli mzuri hupelekea kila tabia njema na tendo jema na hakika mwenye kumiliki ulimi wake ameyamiliki mambo yake yote.
“تفســير الـسعدي
سـورة الإســراء”
Maelezo ya mfasiri:
Anatakiwa mtu kabla ya kuzungumza achunguze na achague cha kuzungumza kama ni maneno mazuri basi azungumze na kama ni mabaya au yanapelekea shari basi asizungumze.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 27, 1443H ≈ Feb 28, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•